0755677418
0800 75 0454
0723 161 162
Detailed professional biography is currently being updated.
Secure your financial future. Apply online today!
Chagua unachotaka kufanya / Select an option:
Ili ukamilishe maombi yako ya kujiunga na MRT SACCOS LTD kwa haraka na bila kukwama, tafadhali hakikisha unavyo vifuatavyo kwenye simu au kompyuta yako:
Barua rasmi ya kuomba kujiunga na MRT SACCOS LTD iliyopitishwa, kusainiwa na kugongwa mhuri na Mkuu wa Kituo chako (mfano Mkuu wa Shule au Makamu wake). Muundo: PDF, JPG, au PNG.
Hati yako halali ya mshahara ya hivi karibuni kutoka Serikalini kwa ajili ya kuthibitisha makato. Muundo: Faili la PDF pekee.
Picha safi ya rangi ya pasipoti (Passport Size) ya sura ya mwombaji. Muundo: Picha ya kawaida (JPG au PNG).
Namba 20 za NIDA za Mwombaji pamoja na namba ya NIDA ya Mrithi wako (Next of Kin).
Check No, TSD No, na uwe mtumishi wa mojawapo ya wilaya 4: Moshi Vijijini (75F1), Moshi Mjini (75F2), Rombo (75F3), au Mwanga (75F5).
Ada ya Kiingilio (TZS 20,000) na ununuzi wa Hisa za Awali (@ TZS 10,000) zitakazolipwa NMB baada ya fomu kukamilika.
Je, una nyaraka hizi tayari kwenye simu au kompyuta yako?
Financial regulations require your Take Home pay after all deductions to exceed one-third (1/3) of your basic salary by at least TZS 40,000 to protect your economic well-being.
Please upload your current month salary slip (Format: PDF)
Please upload your application letter signed and stamped by the Head of your Work Station (Format: PDF, JPG, or PNG)
By clicking 'Generate Form', you agree to join MRT SACCOS and abide by its rules and regulations.
Your application form has been generated. Choose a method to send it to Management now.
Your application to join MRT SACCOS has been received. Please complete the payment for ENTRANCE FEE TZS 20,000 and INITIAL SHARES TZS 0 to Account Number (NMB): 40310019414. Account name: Moshi Rural Teachers SACCOS LTD.
MRT SACCOS loans are strictly available for registered members. If you are not yet a member, please join now to access our loan facilities.
A passport-sized photo is mandatory for all loans. The photo provided here will also be synchronized with your member profile.
Muda wa mkopo wako unavuka tarehe ya kustaafu (miaka 60). Tafadhali ingiza jumla ya akiba/hisa zako zilizopo MRT SACCOS zitakazotumika kufidia marejesho ya miezi iliyozidi baada ya kustaafu:
If I fail to honor the terms of this loan, lawful recovery actions shall be instituted against me, including deductions from my salary via my employer, plus a 10% monthly penalty on any overdue balance, continuing until full clearance.
If I breach my Standing Instruction agreement, I agree that appropriate sanctions will be imposed, including a 10% penalty per month on overdue installments until fully settled.
If I fail to make timely monthly repayments as agreed, strict recovery measures shall be applied, including a 10% monthly penalty on all overdue installments.
Attach photo or PDF of the application form signed by hand.
Attach photo or PDF of the loan contract signed by hand.