Chama Cha Walimu Tanzania Wilaya ya Moshi Vijijini
Madhumuni ya kuinua na kustawisha hali ya uchumi na maisha ya Wanachama, kuchangia mtaji na kukubali kuyakabili matatizo na kupata manufaa kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za Vyama vya Ushirika.
Ni Kuwa saccos ya mfano inayotoa huduma bora za ukusanyaji wa akiba na utoaji wa mikopo nafuu.
Chama kinakupatia Mkopo Kwa Riba Nafuu Ya Asilimia 10.4% Tu Kwa Mwaka