Kujiunga Mrts

MUHIMU

FUNGAMO LA UANACHAMA (Common Bond):

Walimu wa Shule/Taasisi za Elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi,Watumishi Chama cha Walimu Moshi Vijijini, Idara ya Ushirika, na walimu wanachama wastaafu.

UTARATIBU WA KUJIUNGA.

  1. Mwanachama mtarajiwa awe kwenye kundi la fungamano hapo juu.
  2. Aje  na Barua ya Kuomba Kujiunga na SACCOS na picha mbili ndogo(passport size).
  3. Aje na Salary slip (https://salaryslip.mof.go.tz/) ya mwezi mmoja kabla ya tarehe ya kujiunga.
  4. Fomu ya kujiunga pamoja na kiingilio ni Tshs. 20,000/= (Elfu Ishirini tu).
  5. Lazima anunue hisa 50@10000/=, jumla ya Tshs.500,000/= (Laki tano tu).
  6. Hisa lazima zikamilishwe ndani ya miezi sita tangu mwanachama ajiunge.

Akiba ya lazima (Loanable Fund) ni kiasi cha Tshs.20,000/=(Elfu ishirini tu) au Zaidi kwa kila mwezi.

JE! UNAHITAJI KUJIUNGA?

Pakua(Download) Fomu Ya Kujiunga na MRTS hapo chini na utume kwenda it@mrts.co.tz   Au apply online Bonyeza hapa

https://mrtsaccosmoshiv.aidaform.com/membership-form   tutakujibu hivi punde endelea kua nasi, unaweza kuendelea kujifunza kupitia link

Bonyeza hii hapa  https://app.animaker.com/previewslides/PpqG4qbAtCF22q9X/ .