Kujiunga Mrts

Kujiunga

Kujiunga Mrts

MUHIMU:

                                               Fungamano  la  Uanachama(Common Bond):
        Walimu wa Shule/Taasisi za Elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi,Watumishi Chama cha Walimu Moshi Vijijini, Idara ya Ushirika, na walimu wanachama wastaafu.

UTARATIBU WA KUJIUNGA.

  1.  Mwanachama mtarajiwa awe kwenye kundi la fungamano hapo juu.
  2. Aje  na Barua ya Kuomba Kujiunga na SACCOS na picha mbili ndogo(passport size).
  3. Aje na Salary slip (https://salaryslip.mof.go.tz/) ya mwezi mmoja kabla ya tarehe ya kujiunga.
  4. Fomu ya kujiunga pamoja na kiingilio ni Tshs. 20,000/= (Elfu Ishirini tu).
  5. Lazima anunue hisa 50@10000/=, jumla ya Tshs.500,000/= (Laki tano tu).
  6. Hisa lazima zikamilishwe ndani ya miezi sita tangu mwanachama ajiunge.

Akiba ya lazima (Loanable Fund) ni kiasi cha Tshs.20,000/=(Elfu ishirini tu) au Zaidi kwa kila mwezi.

JE! UNAHITAJI KUJIUNGA?

Pakua(Download) Fomu Ya Kujiunga na MRTS hapo chini na utume kwenda info@mrts.co.tz   Au apply online Bonyeza hapa https://mrtsaccosmoshiv.aidaform.com/membership-form   tutakujibu hivi punde endelea kua nasi, unaweza kuendelea kujifunza kupitia link Bonyeza hii hapa  https://app.animaker.com/previewslides/PpqG4qbAtCF22q9X/ 

Download File/s: