Bgs
Pichani ni wadau mbalimbali wakipokea vyeti kwa kutambua mchango wao katika maendeleo ya Sekta ya Ushirika katika kikao cha nne cha Meneja kilichofunguliwa rasmi leo tarehe 14 Machi 2023, Vilevile Mwenyekiti wa Jukwaa la Meneja Wa SACCOS Tanzania ambaye ni Meneja wa MRT SACCOS Bw. Bosco Simba alipokea cheti cha Pongezi kutoka kwa Mrajis Msaidizi Uthibiti wa Vyama vya Ushirika Bw. Collins Nyakunga ambapo makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi wa Royal Village jijini Dodoma.